Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli.
Katika uhalisia hili suala la kusubiri flani aondoke kwenye cheo ndio tumkosoe linaweza kutugharimu sisi kama taifa na halina msingi wakati wa madidiliko na kueleza mapungufu ndio huu.