Embu wewe unaejua mpira tuambie kazi za namba 10Wewe ni kocha? Unayajua majukumu anayotimiza uwanjani? Au unaangalia asist tu? Aziz ki anatimiza kile anachokitaka kocha atimize na sio kama unavyotaka wewe, anaweza asiasist lakini akatimiza majukumu ya kiufundi ndani ya uwanja kwa uwepo wake unalijua hilo? Wewe macho yako yanaangalia kutoa asist ndo aonekane bora kwako?Acheni mambo ya kipuuzi matokeo ya sare yamefanya kila mmoja awe kocha
Mkuu usipanic. Kiufupi Anachomaanisha huyu 'mwananchi' mwenzako ni kwamba pale kwa Aziza key, Joyce na Biring'anya wa EPL tumepigwa na kitu kizito. Ukiendelea kubisha njoo nimekaa paleeeWewe ni kocha? Unayajua majukumu anayotimiza uwanjani? Au unaangalia asist tu? Aziz ki anatimiza kile anachokitaka kocha atimize na sio kama unavyotaka wewe, anaweza asiasist lakini akatimiza majukumu ya kiufundi ndani ya uwanja kwa uwepo wake unalijua hilo? Wewe macho yako yanaangalia kutoa asist ndo aonekane bora kwako?Acheni mambo ya kipuuzi matokeo ya sare yamefanya kila mmoja awe kocha
anacheza namba 10 huyu azizaAziz ki siyo forward, ni kiungo anatimiza mahitaji ya kukaba, kunyang'anya mipira na kupandisha timu ili strikers wafunge.
Ikitokea kapata nafasi ya kufunga ni sawa.
Ahsante mkuuNaunga mkono hoja yako mleta uzi.
Hata mechi ya jana naamini kama Feisal angesogezwa juu alipokuwa anacheza Ki kidogo Yanga wangeweza kupata attempts nyingi zaidi kutokana na hulka ya Feisal kujaribu lango.
Wewe jamaa ni kiazi Kwa asilimia milioniWewe ni kocha? Unayajua majukumu anayotimiza uwanjani? Au unaangalia asist tu? Aziz ki anatimiza kile anachokitaka kocha atimize na sio kama unavyotaka wewe, anaweza asiasist lakini akatimiza majukumu ya kiufundi ndani ya uwanja kwa uwepo wake unalijua hilo? Wewe macho yako yanaangalia kutoa asist ndo aonekane bora kwako?Acheni mambo ya kipuuzi matokeo ya sare yamefanya kila mmoja awe kocha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]akijibu nitag Niko pale[emoji117]Embu wewe unaejua mpira tuambie kazi za namba 10
Nakuunga mkono kwa hoja moja ndio maana simba walikataa dau walilo tajiwa na Asec, wali tazama namba za mchezaji kiwanjani na dau walilotajiwa wakaona mh hapa kuna namna ..sasa engineer katoka zake huko akajaa mazima itabidi mumvumilie huenda namba zitasoma ndani ya NBC PLNaomba kuweka wazi kwanza, mimi ni mwanachama kindaki ndaki wa Dar Young Africans.
Kadi ya uanachama namba: TZDAR03067119
Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye suala la msingi.
Kwenye soka kuna kitu kimoja cha ajabu sana. Mchezaji anaweza kuwa anajua sana soka (skills & Intelligence) ikawa vizuri sana lakini anaweza kukosa tija Uwanjani.
Ninachomaanisha, kwenye majukumu yake asiweze kukupa namba nzuri (magoli & usaidizi).
Ili tuelewane ninachosema, kwanini tusitegemee makubwa kutoka kwa Aziz Ki, lazima tuangalie utendaji wake huko alikopita kwenye timu zote.
Amecheza timu zifuatazo;[emoji1484]
1. CD RAN ROQUE
Mechi: 24
Goals: 02
2. OMONIA NICOSIA
Mechi: 17
Goals: 0
Assists: 01
3. ASEC MIMOSAS
Mechi 30+
Goals: 04
Assists: 02
4. ARIS LIMASOL
Mechi 5
Goals 0
Assists 0
Wazungu wanasemaga, "Numbers don't lie".
Wakimaanisha ukiwa unafanya vizuri, takwimu zitakubeba na kudhihirisha ubora wako.
Je, wewe kama mwanasoka ambae unafuatilia soka vizuri, hizo namba za Azizi Ki hapo juu zimekuridhisha?
Je, hizo namba hapo juu zinaendana na ubora wake ambao tuliambiwa kabla hajaja?
Je, unadhani kama alishindwa kufanya vizuri kwenye timu zote alizocheza huko nyuma kwanini iwe Yanga ndiyo sehemu ataonyesha uwezo?
Nimeepuka kuongea kwa mihemko na nimeweka namba zake kama msingi wa kujenga hoja yangu kuwa Azizi Ki tusitegemee maajabu makubwa kutoka kwake kwa sababu hata huko alikotoka hakuwa bora kiasi hicho (kutokana na namba - michango, magoli & usaidizi)
Narudia tena kwa Aziz-Ki tuliaminishwa vibaya . Alikua amepaishwa sana kana kwamba ni mchezaji wa daraja la juu wakati kiuhalisia namba zake uwanjani hazionyeshi hilo.
Mimi binafsi, naamini mpaka sasa tulichokiona kwa Azizk Ki ndicho hicho pekee ambacho anaweza kufanya. Hakuna kipya zaidi ambacho ataonyesha. Hakuna suala la kumvumilia, hapo ndipo uwezo na ufanisi wake ulipoishia.
Sitotegemea usaidizi 6, au magoli zaidi ya 6 kutoka kwa Aziz Ki katika msimu huu akiwa Yanga.
Aziz Ki, akifikisha hizo takwimu mnitafute nimeweka laki mbili dau mezani.
Kama kuna mtu angependa kupinga hoja yangu, aje na ukweli mtupu nimekaa pale.[emoji117]View attachment 2381780View attachment 2381782
Daah huu utani wa ngumi
Iko waziAziz ki siyo forward, ni kiungo anatimiza mahitaji ya kukaba, kunyang'anya mipira na kupandisha timu ili strikers wafunge.
Ikitokea kapata nafasi ya kufunga ni sawa.
Ipo wazi kuwa Aziz ki hatakiwi kufunga? Yaani namba 10 hatakiwi kufunga?[emoji45][emoji45]Iko wazi