GE2025 Tusivurugane Akili, Lengo Linabaki Lilelile: No reforms, No election

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Oktoba 29 dhumuni ni lile lile Watanzania walilo jiwekea: Bila ya Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.

Sasa kwa nini tuanze tena kutafuta visababu vya kupotezeana akili? Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu.

Kwa hiyo kazi muhimu ya kwanza kabisa siku hiyo ya Oktoba 29, ni kuhakikisha kuwa hakuna uchaguzi bila mabadiliko

Kuna njia mbali mbali za wananchi huko mitaani kuhakikisha kuwa kazi hiyo inafanyika kwa ufanisi. Ufafanuzi wa hili utatolewa siku chache kabla ya hiyo Oktoba 29.

WaTanzania, zingatieni; uwingi wetu ndiyo kinga muhimu zaidi katika kutimiza malengo ya kuzuia uchafu siku hiyo Kutofanyika zoezi hilo siku hiyo, maana yake ni kuwa Samia hawezi kujitangazia ushindi wa aina yoyote ile.
 
Maandamano yangeanza siku Moja kabla ya siku ya kupiga kura
 
Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu.
 
Maandamano yenu yamefeli kabla ya kufanyika. Hamjui lengo la maandamano. Mara mseme ni ya kulaani utekaji mara ya kuzuia uchaguzi na mara nyingine ya kuiondoa CCM madarakani.
 
Sijaonaa Mahali Chadema wameongelea kuandamana. Tafuta viongozi wao wakubwa Heche na Lissu hakuna mahali wamenukuliwa kuhusu maandamano.

Kuandamana ni watu binafsi na wanaharakati ambao wameoliwekea uzito.
 
Oktoba 29 dhumuni ni lile lile Watanzania walilo jiwekea: Bila ya Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.

Sasa kwa nini tuanze tena kutafuta visababu vya kupotezeana akili? Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu.

Kwa hiyo kazi muhimu ya kwanza kabisa siku hiyo ya Oktoba 29, ni kuhakikisha kuwa hakuna uchaguzi bila mabadiliko

Kuna njia mbali mbali za wananchi huko mitaani kuhakikisha kuwa kazi hiyo inafanyika kwa ufanisi. Ufafanuzi wa hili utatolewa siku chache kabla ya hiyo Oktoba 29.

WaTanzania, zingatieni; uwingi wetu ndiyo kinga muhimu zaidi katika kutimiza malengo ya kuzuia uchafu siku hiyo Kutofanyika zoezi hilo siku hiyo, maana yake ni kuwa Samia hawezi kujitangazia ushindi wa aina yoyote ile.
Mkuu nawe tukuone barabarani, usijifiche.
 
Mmeshindwa kuzuia siku zoote hizo miezi 9 hadi Zimebaki siku 9 hayo maandamano mtawezea wapi na mlivyo Manyumbu? election itafanyika mtabaki na neno moja tu "No reform " na itakua No reform kweli shubamit
 
Back
Top Bottom