Tusiwabeze waganda. Tuwashukuru na sasa Tuanze kujipanga Serious kwa Afcon yenyewe

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Ni kawaida yetu kuwa na shughuli za zimamoto. Jinsi ambavyo mechi ya jana ilitengenezwa ilikuwa kama vile ndo tumefaham siku za hivi karibuni.tumeona mechi za awali zilivyokuwa taifa stars ikiwa moja ya team chovu katika kundi.

Uganda walijiandaa vizuri na wamefika hapo walipofika wakiwa wamefanya biashara asubuhi jioni ikawa ni mahesabu.

Mechi ya jana nlishindwa kushangilia.nlishindwa kwa sababu nafaham juhudi tulizofanya kuomba waganda wasije wakakaza hapa nyumban na kutunyima ushindi.

Diplomasia zipo, zinafanya kazi na mashindano haya yalishaingia siasa za east africa. Museven asingekubali kutuangusha ikiwa hana mahusiano mazuri na Rwanda.

Waganda wa jana walikuwa wakicheza pasipo presha... Walikuwa wakitandaza tu kabumbu huku wakiwa tayari na ticketi ya kwenda AFCON. Hawakuhitaji ushindi....

Tunashukuru wachezaji wetu kuwa walitumia vizuri nafasi zilizotokea maana bado ungekuta tunakosa yale magoli.so hilo napongeza.

Sasa nashauri.hebu tuwe serious tuwekeze kwenye team.atafutwe kocha mzuri...kwa mechi ya jana hata bila kocha tungeshinda.niamini mimi

Kama tutaendelea na kocha huyu basi team ijengwe kisaokolojia.ijipange huko mbeleni hatutakutana na waganda wale wa jana... Hawatakuwa na mood kama ile ya jana... Huko mbeleni kila mtu atakufa lwake.

Tusisubiri tena huruma za ndugu zetu mbalimbali...tukapambane...
 
Nimesikitika sana kukosekana kwa miamba ya soka barani Africa kama Zambia na Burkina Faso kwenye mashindano ya Afcon2019.
 
Mhhh haya mambo mbona hayaiingii akilini?? kwa hyo Taifa starz haiwezi kucheza? mbona kama kuchafuana na kuwakatisha tamaa wachezaji wetu? Hivi waganda wakiona posts kama hizi si wanatucheka kwa dharau sana. Hivi ukiitwa uende udhibitishe kuwa waliwaomba waganda utakua na udhibitisho?
 
Kwanza nioneshe nliposema waliwaomba waganda halafu nikujibu swali lako.

Kuwabeza No..., Tusitukane Mkunga, kesho au keshokutwa inaweza ikatokea tena mahitaji ya U Diplomasia tukaomba ujirani mwema wakakataa..., na sisi next time tukipata chance kabla hatuna budi kurudisha fadhila.., that's how it rolls, you scratch my back I scratch yours....
 
Waganda hawajatusaidia. Tumewazidi kiwango kwa mechi zote mbili. Mechi ya kwanza, tulitoka nao droo, na walikuwa washinde ili wafuzu. Mechi hii walikuwa ugenini, wakaishia kuchapwa.
 
Angalia hata official page ya Shirikisho la mpira usome comments,comments zote za waganda wanawalalamikia shirikisho la mpira na wachezaji wao kwamba mechi iliuzwa
Mhhh haya mambo mbona hayaiingii akilini?? kwa hyo Taifa starz haiwezi kucheza? mbona kama kuchafuana na kuwakatisha tamaa wachezaji wetu? Hivi waganda wakiona posts kama hizi si wanatucheka kwa dharau sana. Hivi ukiitwa uende udhibitishe kuwa waliwaomba waganda utakua na udhibitisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida yetu kuwa na shughuli za zimamoto. Jinsi ambavyo mechi ya jana ilitengenezwa ilikuwa kama vile ndo tumefaham siku za hivi karibuni.tumeona mechi za awali zilivyokuwa taifa stars ikiwa moja ya team chovu katika kundi.

Uganda walijiandaa vizuri na wamefika hapo walipofika wakiwa wamefanya biashara asubuhi jioni ikawa ni mahesabu.

Mechi ya jana nlishindwa kushangilia.nlishindwa kwa sababu nafaham juhudi tulizofanya kuomba waganda wasije wakakaza hapa nyumban na kutunyima ushindi.

Diplomasia zipo, zinafanya kazi na mashindano haya yalishaingia siasa za east africa. Museven asingekubali kutuangusha ikiwa hana mahusiano mazuri na Rwanda.

Waganda wa jana walikuwa wakicheza pasipo presha... Walikuwa wakitandaza tu kabumbu huku wakiwa tayari na ticketi ya kwenda AFCON. Hawakuhitaji ushindi....

Tunashukuru wachezaji wetu kuwa walitumia vizuri nafasi zilizotokea maana bado ungekuta tunakosa yale magoli.so hilo napongeza.

Sasa nashauri.hebu tuwe serious tuwekeze kwenye team.atafutwe kocha mzuri...kwa mechi ya jana hata bila kocha tungeshinda.niamini mimi

Kama tutaendelea na kocha huyu basi team ijengwe kisaokolojia.ijipange huko mbeleni hatutakutana na waganda wale wa jana... Hawatakuwa na mood kama ile ya jana... Huko mbeleni kila mtu atakufa lwake.

Tusisubiri tena huruma za ndugu zetu mbalimbali...tukapambane...

Naungana mkono hoja yako mkuu,japo tumeifunga Uganda na kutinga Afcon lakini tukiendelea na kocha huyu Amunike,Kilio kinatuhusu.
Kama tutaendelea kuingiza siasa katika jambo hili eti tumpe muda Tutakiona cha Mtema Kuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh haya mambo mbona hayaiingii akilini?? kwa hyo Taifa starz haiwezi kucheza? mbona kama kuchafuana na kuwakatisha tamaa wachezaji wetu? Hivi waganda wakiona posts kama hizi si wanatucheka kwa dharau sana. Hivi ukiitwa uende udhibitishe kuwa waliwaomba waganda utakua na udhibitisho?
kwa watu wa mpira jamaa yuko sahihi japokuwa si jambo la kuzungumzwa sana kwa sasa,tufanye maandalizi mapema kwa ajili ya afcon yenyewe
 
Waganda hawajatusaidia. Tumewazidi kiwango kwa mechi zote mbili. Mechi ya kwanza, tulitoka nao droo, na walikuwa washinde ili wafuzu. Mechi hii walikuwa ugenini, wakaishia kuchapwa.
jombaa angalia matokeo ya mechi zote alizocheza na wapinzani wake ktk kundi cape verde,lesotho
halafu,angalia matoke yetu yote tuliocheza na wapinzani wetu ktk kundi cape verde,lesotho
fanya football analysis uone kati ya uganda na tz nani alikuwa bora ktk kundi
 
Hivi ni nani hasa anapaswa kupewa shukrani kwa Tz kwenda Afcon?
Ni Taifa stars?
Ni Uganda? au
Ni Capeverde? au
Mungu?

Nikipata jibu narudi kumshukuru anayestahili.
 
Kwanza nioneshe nliposema waliwaomba waganda halafu nikujibu swali lako.
Mi sijui ku highlight paragraph ila hapo kuna sehemu umeandika unazijua juhudi tulizofanya kuomba Uganda wasije wakakaza hapa nyumbani. Ok all in Taifa stara wakaze buti. Hizi.mada za kuwapa credits Ug ziiishe muwape sapoti vijana
 
Unafaham kiswahili vizuri? Unafaham maana ya kuomba? Sasa mbona wewe ulisema kuwaomba?mimi nmeandika kuwaomba sehemu yoyoye? Huoni kama unanilisha maneno au una elewa mbaya?

Back
Top Bottom