Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ni kawaida yetu kuwa na shughuli za zimamoto. Jinsi ambavyo mechi ya jana ilitengenezwa ilikuwa kama vile ndo tumefaham siku za hivi karibuni.tumeona mechi za awali zilivyokuwa taifa stars ikiwa moja ya team chovu katika kundi.
Uganda walijiandaa vizuri na wamefika hapo walipofika wakiwa wamefanya biashara asubuhi jioni ikawa ni mahesabu.
Mechi ya jana nlishindwa kushangilia.nlishindwa kwa sababu nafaham juhudi tulizofanya kuomba waganda wasije wakakaza hapa nyumban na kutunyima ushindi.
Diplomasia zipo, zinafanya kazi na mashindano haya yalishaingia siasa za east africa. Museven asingekubali kutuangusha ikiwa hana mahusiano mazuri na Rwanda.
Waganda wa jana walikuwa wakicheza pasipo presha... Walikuwa wakitandaza tu kabumbu huku wakiwa tayari na ticketi ya kwenda AFCON. Hawakuhitaji ushindi....
Tunashukuru wachezaji wetu kuwa walitumia vizuri nafasi zilizotokea maana bado ungekuta tunakosa yale magoli.so hilo napongeza.
Sasa nashauri.hebu tuwe serious tuwekeze kwenye team.atafutwe kocha mzuri...kwa mechi ya jana hata bila kocha tungeshinda.niamini mimi
Kama tutaendelea na kocha huyu basi team ijengwe kisaokolojia.ijipange huko mbeleni hatutakutana na waganda wale wa jana... Hawatakuwa na mood kama ile ya jana... Huko mbeleni kila mtu atakufa lwake.
Tusisubiri tena huruma za ndugu zetu mbalimbali...tukapambane...