miongoni mwawanao sema maendeleo hayana ubaguzi no wewe,Mimi nawauliza wanajukwaa juu yako.unayosema Yana uelekeo huo?Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Waliwaita na kuwaalika lakini mlikuwa bar!Sasa nyie mnaohudhuria na kuandaa hizo sherehe kiasi cha kuzielwa kero za wafanyakazi ipasavyo mmewasaidiaje?
Wanawezakua hawajawahi kuhudhuria lakini haiwafanyi washindwe kutatua matatizo yao kwa vile nyie mmeshindwa.
Waliwaita na kuwaalika lakini mlikuwa bar!
Hoja ni kwamba serikali ya CCM chini ya Mzee Pombe imewadhulumu wafanyakazi kwa kutowapandishia mshahara kwa miaka 5 jambo ambalo walistahili kufanyiwa kisheria.Povu la nini..?
Jibu hoja kwa hoja...mlikuja na kiki ya kujaza uwanja mkafulia...sisi tukawaonesha mijadala ya Sera...mkatufuata...sasa tunawaumbua vizuri
Tumepanda vyeo labda kama upo misinformedHoja ni kwamba serikali ya CCM chini ya Mzee Pombe imewadhulumu wafanyakazi kwa kutowapandishia mshahara kwa miaka 5 jambo ambalo walistahili kufanyiwa kisheria.
Serikali ya Chadema itawalipa wafanyakazi stahiki zao walizodhulumiwa na serikali katili ya CCM kwa miaka 5.
wewe hujawahi kuwa mfanyakazi, utajuaje kama Chadema wana hudhuriaKujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mataga sheria inamtaka mfanyakazi kupata ongezeko la mshahara kila mwaka.Tumepanda vyeo labda kama upo misinformed
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Yaaani kujua matatizo ya wafanyakazi mpaka uhudhulie sherehe yao?Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Huu ni uwendawazimu kiwango cha juu sana kwahio huwa mnakwenda uwanjani mnawasikiliza kwa kuwasanifu kisha ndio mnakua mmeClips zipo na malalamiko ya vyama vya wafanyakazi yapo.
by the way kwa sasa mfanyakazi wa serikali anaheshimika kuliko mfanyabiashara.
utafumbua vipi matatizo yao kama wakikuita ujumuike nao unasusa?
CHADEMA au chama chochote cha siasa ambacho hakipo madarakani hawahitaji kwenda kwenye sherehe za Mei Mosi ili kujua matatizo ya wafanyakazi.Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA