Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine.
Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome masomo ya sayansi kwamba masomo ya biashara yanasomwa na watu wengi na hayana ajira, huu ni uzushi mtupu na wanaoongea maneno haya ni watu ambao bado hawajaelewa vizuri wanachokiongea.
Hakuna ofisi ambayo itakosa mtu wa accounts au mtu wa finance au HR...yaan ndomana nafasi za kazi za hawa watu zipo deile mitandaoni, kwaio hatakama watu wengi wanasoma hizi vitu bado wana fursa pana ya ajira kuliko hawa wanasayansi wetu ambao hata mshahara wao huwa ni wa chini kidogo.
PS: ukiachana na nilichosema apo, maisha ni nyota na kila mtu ana yake, haijaalishi ana elimu gani.