KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hiyo couple ya awali tusiilaumu sana kwa kula lile tunda!,laiti wasingekula wao naimani kabisa kuna mwamba huko na pisi kali yake wangekula tu!.. just jiangalie hata we mwenyewe na huyo partner wako tu msingekula kweli..😃
By the way alieanza kula ni eva akafata Adam unafikiri nini kama Adam angekataa kula..? Wanaume wenzangu najua mnajua nini huwa kinawakuta ukizira kula chakula cha mke au mchumba wako!.. Jamaa nae alijua atachambwa vibaya kinyama mixer kununiwa na kunyimwa nanihii!!..😂
Ubao bado unasoma draw kwa pande zote mbili huku mtu kapigwa risasi huku mwana kakatwa dudu!.