Tusiwalaumu wazazi wetu

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Sema ile kauli ya
"Sitaki watoto wangu waje kuishi maisha kama niliyoishi mimi"

Kwa namna moja ama nyingine huwa tunawakosea sana wazazi wetu.
Walijitahidi sana kutupa Kila kitu kwa nafasi zao na walicho jaaliwa πŸ“Œ
 
Wenyewe hua wanasoma, usipo kazana na shule utakua mkulima/Masikini kama sisi wazazi wak 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…