Tusiwasakame Yanik Bangala na Djuma Shabani kuwa ni watovu wa nidhamu, Je Feisal Salumu nae ni mtovu wa nidhamu??

Tusiwasakame Yanik Bangala na Djuma Shabani kuwa ni watovu wa nidhamu, Je Feisal Salumu nae ni mtovu wa nidhamu??

Ni haya mafanikio ya misimu miwili ndo yanatuziba mdomo tusiongee ila pale shida ipo na shida kubwa tu. We fans are just trying not to defocus viongozi wetu ila shida ipo na ipo siku tu.
Kwa kweli hata mm nakuunga mkono
Maana kama wachezaji wanaanzisha migomo ya chini chini,nini chanzo ?
Hawalipwi mishahara yao ?, Hawalipwi bonuses wanazoahidiwa ama ni nini?
Kwa Mayele tutawaelewa kua ni Suala la kuzidiwa pesa na waarabu ila hawa kina Bangala ,ni nini kimewapata?
 
Wewe nae Huwa unaanzisha mada za kijinga kijinga tu. Viongozi wanaokaa nao huko kambini wanasema hawana nidhamu, wewe upo mtaani unajifanya mjuaji.

Unafikiri hapa mwishoni kwanini kocha nabi alikua anawapiga benchi huyo juma na bangala.
 
Jikite kwenye hoja [emoji41]

Vipi kuhusu Feisal salumu na Saidoo Ntibazonkiza??

Toa umbumbumbu wako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuhusu Feisal na Saidoo Ntibazonkiza??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Muwe na taarifa za kutosha kabla hamfungua uzi. Issue ya Saidoo sio ya kinidhamu ila walishindwa kuelewana kwenye urwfu wa mkataba. Saido alitaka miaka miwili Yanga walitaka kumpa mwaka mmoja Saido akakataa ndio chanzo cha kuondoka. Swala la Feisal liko wazi sana sijui watu hamuelewi wapi?
 
Vipi kuhusu Feisal na Saidoo Ntibazonkiza??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu sidhani kama una utashi wa unayoyaongelea.

Unajua kwanini Saidoo aliachwa na Yanga??.

Issue ya Fei iko wazi sana, alivurugwa akili baada ya kuahidiwa hela kule Azam, ila kabla ya hapo kila kitu kilikuwa sawa. Nasema hivi, sio Kwa kuhisi Bali kwa kujua.
 
Kwa kweli mm naipenda sana Yanga ila kwa hili tulilolifanya kuhusu Bangala na Djuma shabani limenihuzunisha mno mno,
 
Muwe na taarifa za kutosha kabla hamfungua uzi. Issue ya Saidoo sio ya kinidhamu ila walishindwa kuelewana kwenye urwfu wa mkataba. Saido alitaka miaka miwili Yanga walitaka kumpa mwaka mmoja Saido akakataa ndio chanzo cha kuondoka. Swala la Feisal liko wazi sana sijui watu hamuelewi wapi?
Hakuna unachokijua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
"Nchi hii ukitaka ubaya, basi, dai chako"....
 
Jangwani Kuna tatizo! Jangwani Kuna tatizo! Jangwani Kuna tatizo!

Naandika Kama shabiki mkereketwa niliyechoshwa na kelele za wachezaji Tena wachezaji ambao ni mafundi haswaa wa mpira Nani asiyejua ubora wa Feisal Salumu alipokua Yanga Sc na ukienda pale msimbazi huwezi kukuta kiungo mkabaji na mwenye kucheza beki wa Kati Kama Yanick Bangala.

Naam watu wa mpira wameshanielewa Nini NALIA NGWENA naongea kuhusu talanta za Hawa wachezaji, kila nikikumbuka majalo ya Djuma Shabani pamoja na ufundi aliounesha kwenye mechi muhimu ya fainali ya kombe la shirikisho Yes! Hakika alikua bado anastahili kuwa Yanga sc.

UondoKaji wa Feisal Salumu ulileta maswali mengi sana na kuchangiwa na mzaha ndani yake "eti alichoka kula ugali na sukari"

Kwa jicho la pili na wenye akili walielewa Nini kinachoendelea jangwani lakini kwa kuwa Yanga sc ni timu kubwa na wenye mashabiki Lia Lia Basi Jambo lilifunikwa kishabiki zaidi na kesi juu ya Feisal salumu iliamuliwa ikulu.

Je asingefahamika ikulu Kama Denis nkane ama chrisprin Ngusi Nini kingeendelea juu ya talanta ya kijana mdogo (Zanzibar finest)??

Leo zimeibuka tetesi za utovu wa nidhamu za Yanick Bangala na Djuma Shabani kwa kuwa Yaniki bangala na Djuma Shabani bado wanacheza mpira huwezi kusikia wakifunguka juu ya hizo tuhuma Bali wanaacha zigo la miba/misumari liwaangukie ili maisha yaendelee na ndicho kilichotokea kwa Feisal Salumu alipohojiwa "Nini viongozi yanga wamekutendea??
Aligoma katakata kusema.

Nitakua mtu wa mwisho kupiga kelele za kusema Yanick Bangala na Djuma Shabani ni watovu wa nidhamu wakati kilichomuondoa Feisal Salumu hakijulikani ni wazi Kabisa Jangwani Kuna tatizo na si wachezaji.

Nawasilisha hoja.
Umepayuka mara tatu kwamba Yanga kuna tatizo halafu hujaeleza hata tatizo moja.
 
Back
Top Bottom