Tusiwe watu wa kudandia vitu au hatua zinazochukuliwa na kiongozi wa mataifa jirani

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari wakuu

Rais Museveni kaanzisha harakati za kuzuia vitendo vya ushoga nchini mwake na sisi wa kwetu kaiga ili aendane na wakati asionekane vibaya Sasa imekuwa kero.

N:B Na ninyi muwe mnaanzisha agenda zenu na kuzisimamia sio mnaiga mahali mnaanza kuleta usumbufu humu, kweli nimeamini kondoo Ni kondoo tu.
 
Wa kwetu ni mjanja, kila anapozungumzia suala hilo hataji jina la hiyo tabia asije akanaswa kauli na mabeberu yanayounga mkono suala hilo yakaanza kumtishia kukata misaada yao na kuharibu uchumi wetu. Kawaachia viongozi wa dini na baadhi ya wanasiasa wasojulikana kwa mabeberu nini wanachosema ndio wataje hilo suala waziwazi
 
Huenda ataua ajenda ya kufungua nchi, ahaah umenichekesha Sana.
 
Huenda ataua ajenda ya kufungua nchi,, ahaah umenichekesha Sana.
nafuatilia sana hotuba zake maalumu kwa wananchi wake hasa pale anapozungumzia mmomonyoko wa maadili. Akifikia kwenye point ya kutaja ile tabia inayovuma kwa sasa hataji kwa jina lake anaizunguka kiustadi. Na akiitaja anaitaja kwa code. Hataji jina kamili ambalo ni 'mapenzi ya jinsia moja', 'ushoga' na 'usagaji', hizi sentensi hazitaji kabisa kwenye hotuba zake. Kama ameamua kutotaja maneno haya ni vema maana yana ukakasi na ni aibu kuyataja. Viongozi wengine wanayataja bila aibu tena viongozi wa dini, hao viongozi wa dini wawe na staha kama rais wetu, kutajataja ushoga na usagaji ni maneno ya aibu kwa jamii inayojiheshimu
 
Hata iwe vipi!! Hatutaki ushoga TANZANIA
 
Akitaja tu tunakula hasara kwa gharama za safari,royal tour pamoja na mwendazake regime.Gusa unategemea teh teh teh
 
Back
Top Bottom