Tusiyoyafahamu kuhusu nchi ya BOTSWANA

savo

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
293
Reaction score
233
Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
 
Ni yapi hayo tusio yafahamu?

Kama unayajua tusiyoyafahamu tupatie mkuu, nataka kwenda huko vip kuhusu fursa hasa katika biashara
 
Yaani Wewe ndio umetuita kutueleza tusiyoyafahamu huko Botswana,
Kumbe umekuja kutoa taarifa kuwa una passport

Passport kama nyenzo ya safari ila suala zima ni kuataka kujua vipo fursa zake kama wazifahamu mkuu
 
Peleka nguo za mitumba huko, mie nilikaaa tu siku kadhaa coz nilikuwa naenda SA but hiyo fursa niliiyona pia kuwa makini sn kama ni mzee wa tunda maana huko ukimwi nje nje, magari yapo mengi tu Zambia so kazi kwako pia usisikilizieee sn coz watu watakutia uoga kama umeamua wewe nenda tu mengine utajuana nayo mbele ya safari huko
 
Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Nenda Namibia! Achana na huko Botswana. Nasikia Namibia wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Hivyo huko ni rahisi zaidi kutoboa! Si unafahamu akili za vijana wengi wa Kitanzania, sehemu kubwa ya akili yao inawaza ngono!
 
Vipi kuhusu biashara ya kacha Na mashuka ya kimasai au kifupi vitu vya culture Ya kimasai? Kuna fursa ?
 
Nenda Namibia! Achana na huko Botswana. Nasikia Namibia wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Hivyo huko ni rahisi zaidi kutoboa! Si unafahamu akili za vijana wengi wa Kitanzania, sehemu kubwa ya akili yao inawaza ngono!

Nashukuru, Je Namibia kuna fursa gani zaidi ya totozi?
 
Nashukuru, Je Namibia kuna fursa gani zaidi ya totozi?
Huko ni totoz tu mkurugenzi. Hebu fikiria mwenyewe, nchi nzima ina watu wasiozidi milioni 3! Halafu vijana wa kiume karibia wote, wanakimbilia Afrika Kusini kutafuta maisha bora!
 
Unaenda na sh.ngapi ili upokelewe kama mwekezaji? Kama milioni moja au mbili usijisumbue. Hawataki kabisa wageni sababu Wazimbabwe wamejaa sana huko na wasumbufu kwa hiyo wageni wote wanaonekana virus.
 
Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Nakumbuka
Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Kule maisha yapo poa saana ila zingatia kuwa na fani yaaan ukienda kule inabidi uwe na fani yoyote ili usurvive yaaan ujuzi wowote unakupa maisha harafu kule pia magari ni bei rahisi pia electronix ni bei chee saana sijuagi kwa nini mfano nishawahi tembelea maeneo ya FRANSIS TOWN. Niliishi miez mi3 kwa kazi ya digital marketing kama kumanage viaccount vya biashara za watu nikawa napiga Pula zangu na maisha yakawa yanaendelea napendekeza kama una ujuzi haswa ya kidigitali kama video production,digital marketing skillz viujuzi kama vya graphics, etc kuishi utafurahi mbona
 
Nina rafiki mmoja hivi she is living in Namibia and she has citizenship of Namibia, she told me that Namibia gots good and standard life over every facilities and social welfares but you should make sure you have a work permit. Namibia na botswana sawa tu japo namibia life is fine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…