Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yapi hayo tusio yafahamu?Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Ni fursaNi yapi hayo tusio yafahamu?
Nenda Namibia! Achana na huko Botswana. Nasikia Namibia wanawake ni wengi kuliko wanaume.Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Peleka nguo za mitumba huko, mie nilikaaa tu siku kadhaa coz nilikuwa naenda SA but hiyo fursa niliiyona pia kuwa makini sn kama ni mzee wa tunda maana huko ukimwi nje nje, magari yapo mengi tu Zambia so kazi kwako pia usisikilizieee sn coz watu watakutia uoga kama umeamua wewe nenda tu mengine utajuana nayo mbele ya safari huko
Nenda Namibia! Achana na huko Botswana. Nasikia Namibia wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Hivyo huko ni rahisi zaidi kutoboa! Si unafahamu akili za vijana wengi wa Kitanzania, sehemu kubwa ya akili yao inawaza ngono!
Huko ni totoz tu mkurugenzi. Hebu fikiria mwenyewe, nchi nzima ina watu wasiozidi milioni 3! Halafu vijana wa kiume karibia wote, wanakimbilia Afrika Kusini kutafuta maisha bora!Nashukuru, Je Namibia kuna fursa gani zaidi ya totozi?
Maisha ya Botswana na Namibia ni mazuri na ya amani kuliko SA.Huko ni totoz tu mkurugenzi. Hebu fikiria mwenyewe, nchi nzima ina watu wasiozidi milioni 3! Halafu vijana wa kiume karibia wote, wanakimbilia Afrika Kusini kutafuta maisha bora!
NakumbukaHabarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
Kule maisha yapo poa saana ila zingatia kuwa na fani yaaan ukienda kule inabidi uwe na fani yoyote ili usurvive yaaan ujuzi wowote unakupa maisha harafu kule pia magari ni bei rahisi pia electronix ni bei chee saana sijuagi kwa nini mfano nishawahi tembelea maeneo ya FRANSIS TOWN. Niliishi miez mi3 kwa kazi ya digital marketing kama kumanage viaccount vya biashara za watu nikawa napiga Pula zangu na maisha yakawa yanaendelea napendekeza kama una ujuzi haswa ya kidigitali kama video production,digital marketing skillz viujuzi kama vya graphics, etc kuishi utafurahi mbonaHabarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
[emoji23][emoji23] title ya habari ni tungo tata , ila tumeelewe , msaidieYaani Wewe ndio umetuita kutueleza tusiyoyafahamu huko Botswana,
Kumbe umekuja kutoa taarifa kuwa una passport
DahVipi kuhusu biashara ya kacha Na mashuka ya kimasai au kifupi vitu vya culture Ya kimasai? Kuna fursa ?