Tusizinguane na tusichoshane Yanga SC haina Wachezaji wenye Hadhi, Simba SC itakuwa Bingwa tu, DC Jerry Muro

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa Arumeru Jerry Muro ' kawachana ' makavu kabisa.

Mkiambiwa Yanga SC kuna shida muwe mnatuelewa sawa? Haya sasa mkatalieni na mtukaneni na Jerry Muro wenu ili tujue kama mna Hasira sana.
 
Ni mpumbavu tu anayeilinganisha Yanga na simba.
Wewe timu ipo 1/4 fainali caf unaifananishaje na yanga, saa nyingine mimi huwaga siwaelewi simba na manara wao nyie sie level zetu eboo
 
Mwezi Mei siyo mbali kutoka sasa! Hamchelewi nyinyi kuzimia uwanjani na kung'oa viti!
 
wanayanga nawasalim kwa jina la jamhuri ya utopo sare ziendelee
 
Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa Arumeru Jerry Muro ' kawachana ' makavu kabisa.

Mkiambiwa Yanga SC kuna shida muwe mnatuelewa sawa? Haya sasa mkatalieni na mtukaneni na Jerry Muro wenu ili tujue kama mna Hasira sana.
Gentamycin karibu kwenye uzi uje na all rounder.
 
Back
Top Bottom