Tusker Challenge Cup 2011: Zanzibar vs Rwanda

Tusker Challenge Cup 2011: Zanzibar vs Rwanda

Kombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,812
Reaction score
511
Kipindi cha pili, hadi sasa bao ni moja kwa moja. Zanzibar wanaonesha jitihada na kwa kiasi fulani wamewashika Wanyarwanda. Hii ni robo fainali ya pili, katika mechi iliyozikutanisha Sudan na Burundi, Sudan wameshinda 2-0.
 
Zanzibar wanaweza kufika mbali.....wana discpline
 
Zanzibar wanakosa bao la wazi kabisa....aisee
 
Kuna tatizo kwenye kiungo, Abdulhalim Humud amekuwa mchoyo mno wa pasi.
kwaida yake huyo....bado anatafuta kujulikana kwa simba na yanga......
 
Rwanda wanapiga bao la pili.
 
Jahazi la Zanzibar linaelekea kuzama!
 
hili kombe litaenda Rwanda aisee.....
 
Hizi timu zetu hovyo kabisa, mechi imeisha.

Zanzibar 1 Rwanda 2
 
Back
Top Bottom