Tusker Challenge Cup 2011: Zanzibar vs Rwanda

Tusker Challenge Cup 2011: Zanzibar vs Rwanda

ahaha Boban si hatakuwepo wameshapata kisingizio cha kufungwa.....

Bongo bana full usanii walikuwa wanalilia wazawa wapewe timu wamepewa wamechemka kuchagua wachezaji.
 
Na kesho naomba mungu ile timu mbovu kuliko zote inayoitwa kilimanjaro stars ipigwe hata goli5 watolewe ili wawe wanajiandaa vizuri sio kujiandaa kwamaneno ya kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom