kauli mbiu ya RWANDA ni;
*UBUMWE-umoja
*IBIKOGWA-kazi
*NA MAJAMBELE- maendelo
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::.
kauli mbiu ya TANZANIA ni;
*TUMETHUBUTU
*TUMEWEZA
*NA TUNASONGA MBELE.
na hii tumedhihilisha katika michuano ya cecafa. Mia
Mkuu sikufahamu kuwa kauli mbiu ya Rwanda inafanana na ya Burundi kiasi hicho, Warundi wao wanasema "UBUMWE-IBIKORWA-AMAJAMBERE (Unite-Travail-Progres)". Thanks Mkuu.
hongera Uganda cranes, ila dah inauma sana kwa warwanda. Micho anakubali matokeo coz ndio soccer lilivyo.....anashindwa hata kuelewa inakuaje unaongoza goli moja mbele kwa mara mbili mfululizo na pia unapata nafasi ya kuongoza penalti mbili za ziada then unakosa ushindi..hii kweli ndio soccer.