Afadhari kuokota Garasa kuliko kutoka uwanjani kichwa chini....Mtoto akililia wembe mpe!
Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena.🙁
Mshaanza visingizio sijui kura za kihuni... fungu la kukosa la kukosa tu..
Masatu ni Simba timu yake imetolewa