Tusker Cup 2009

Tusker Cup 2009

Iramusm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
512
Reaction score
318
Wale wenye data tupeane yanayojiri katika Tusker Cup humu. Kwakuwa wote tunakubaliana kuijenga timu bora ya taifa basi lazima mkazo uanzie kwenye vilabu ni muhimu mashindano ya vilabu nayo yatupiwe jicho. Tupeni data wana JF tupate burudani huku tukiangalia mustakabali wa soka la bongo
 
Sopaka 3- Mtibwa 1, kesho mafunzo na tusker kenya, ijumaa simba ina cheza na sopa ya kenya.
 
aah jamani bingwa si anjulikana?hivi hizi timu nyengine zinataka kusumbua bure wachezaji wao
the msimbazi reds are the champions abishae na abishe tu,tusubiri tuone
 
aah jamani bingwa si anjulikana?hivi hizi timu nyengine zinataka kusumbua bure wachezaji wao
the msimbazi reds are the champions abishae na abishe tu,tusubiri tuone
watake wasitake...mnyama ndio bingwa....

asanteni kutupatia updates...sijui maximo atakanyaga uwanja wa uhuru kuangalia vifaa vipya au anaogopa kuzomewa...kwi..kwi
 
Thanks Mayonela. Balaa kwa defending champions wetu,naona hawa jamaa Sofapaka ni wageni lakini wamejiandaa. Hili group nadhani litakuwa interesting manake Simba nao wako humu humu.By the way itakuwa interesting kuona mafunzo ya Zenj inafanya kitu gani baada ya ile dhahama ya Chalenj Nairobi
 
Jamani leo vipi, naona simu bongo ngumu kupatikana....?
 
matokeo leo simba vs sofapaka wametoka 0-0
Mgosi kakosa penalti
 
kumbe nawe umeliona hilo.......mpaka sasa kimyaaa

...paka si mbovu kama Zanzibar. Halafu kuna tofauti hapo, kwamba Maximo analipwa na kodi zetu (wakati Phiri analipwa na Friends of Simba).
 
matokeo leo simba vs sofapaka wametoka 0-0
Mgosi kakosa penalti
I can see the exit door for Simba SC come next match with Mtibwa ! Hili kombe linaenda Kenya wadau. Manake sioni timu ya kuizuia Sofapaka katika lile kundi lingine, miamba yote iko kundi hili na imechemsha
 
Mkuu kumbe Yanga ikishinda unaonekana? Vipi ile website ya Jangwani, imefikia wapi?

Hapana mkuu,mi mbona nakuwepo muda wote??,angalia thread ya Simba Vs Yanga utaona michango yangu..Kuhusu Website,iko katika hatua za mwisho kukamilika..Just wait utaona..Itaanza kuwa hewani soon mkuu
 
Hivi inakuwaje katika club level hawa wazenj tunawagaragaza sana ikija kwenye timu za taifa wanatutoa jasho?? why? Au ni kwa sababu tunapigwa tafu na wacongo, wakenya, wacameroon,waganda? (nusu timu tu ndo wabara )
 
Simba kaiting Nusu Final
Kashinda 2-1 Vs Mtibwa

Naona Yanga VS Simba Semi-Final..labda Yanga wkubali kipigo kesho from Tusker ili amkimbie mnyama...
 
Jana Simma 2- mtibwa 1,leo in yanga na tusker ya kenya.Simba na Paka wamefuzu kwa nusu fainali.magoli ya SiMBA - Barasa, Boban- Mtibwa - Mkopi..
mtibwa out of tournarment
 
aah jamani bingwa si anjulikana?hivi hizi timu nyengine zinataka kusumbua bure wachezaji wao
the msimbazi reds are the champions abishae na abishe tu,tusubiri tuone
its sofapaka....
 
Back
Top Bottom