Iramusm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 512
- 318
Wale wenye data tupeane yanayojiri katika Tusker Cup humu. Kwakuwa wote tunakubaliana kuijenga timu bora ya taifa basi lazima mkazo uanzie kwenye vilabu ni muhimu mashindano ya vilabu nayo yatupiwe jicho. Tupeni data wana JF tupate burudani huku tukiangalia mustakabali wa soka la bongo