Tusker fanya kweli yawafikia wakazi wa tegeta na temeke wiki hii

Tusker fanya kweli yawafikia wakazi wa tegeta na temeke wiki hii

News TZ

Senior Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
132
Reaction score
75
7c.jpg
Mpenzi wa bia ya Tusker ambaye pia ni mkazi wa jiji la Mbeya Monalisa Makangila (Katikati) akipeana mkono na Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanya Kweli Kiwanjani mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya fulana na mfuko wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo inayoendeshwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti.

4.jpg
Mkazi wa Mtaa wa Yombo-Temeke, Bi. Asha Bakari akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Afisa Masoko anayejifunza kwa vitendo toka Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Josephat Shelukindo katika hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Kiwanjani inayodhaminiwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti. Promosheni hii ya Tusker imejikita katika kuziunga mkono baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka ili kuhakikisha kuwa zinatambulika kwa wateja wa eneo husika na kufanya kweli kwenye utaoji wa huduma.
2.jpg
Mpenzi wa bia ya Tusker na raia wa nchi jirani ya Kenya Bw. Oliver Abanda akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi katika hafla ya kuipongeza baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker katika kuzihamasiha baa mbalimbali jijini Dar na mikoani pia kufanya kweli linapokuja swala la utoaji huduma kwa wateja.

5.jpg

Mkazi wa Wazo Hill, Tegeta Mary Joseph (Katikati) akipokea zawadi ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo, Mbezi na Tegeta Bw. Victor Mhindi (Kulia) wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani iliyofanyika katika baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam. (Kushoto) ni mshereheshaji wa promosheni hiyo na Mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio E-fm, Gadner Habash.
 
Back
Top Bottom