Tusome Katiba Inayopendekezwa Tuilewe na Tusiburuzwe na Viongozi wa Dini

Tusome Katiba Inayopendekezwa Tuilewe na Tusiburuzwe na Viongozi wa Dini

Sasa ndugu huo mda wa kuisoma novel yooote ukowapi ? Au unataka ipite siku bila ya mkono kwenda kinywani huku ukijifariji kwa ahadi zisizo tekelezeka?
Kweli ndugu Tegeta Escrow umesema muda wa kusoma novel yote haupo. Nasi hatukwambii kusoma novel soma Katiba Inayopendekezwa hasa vifungu unavyodhani vina utata. Na unaweza kusoma sura moja kwa siku ukatulia kesho ukatafuta sura nyingine na siku nyingine unasoma kipengele kingine. Utajikuta umeielewa na kuanza kuwafundisha wengine. Upo hapo.
 
Tuisome Katiba Inayopendekezwa tuielewe vizuri na tusiburuzwe na Viongozi wa Dini au kundi lolote. Haya ni maneno yaliyosemwa leo na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Amon Mpanju katika mahojiano na TBC kwenye kipindi cha Jambo Tanzania asubuhi ya Jumatatu 6, Aprili, 2015. Mjumbe huyo amesema viongozi wa dini na makundi mengine watuache wananchi tuisome Katiba na tuilewe vizuri kwani inayo mambo mengi mazuri. Amekemea baadhi ya watu wanaopotosha wenzao na kusema mambo ambayo hayamo katika Katiba inayopendekezwa. Kuhusu miiko na maadili ya viongozi na watumishi wa Umma, Bwana Mpanju amesema vimeaanishwa vizuri ndani ya Katiba Inayopendekezwa. Kuhusu kuondolewa kipengele cha wananchi au wapiga kura kumuundoa Mbunge madarakani endapo hawaridhi naye amesema kipengele hiki kingeweza kuleta utata sana hasa katika zama hizi za upinzani.

Vile vile amesema kuwa wajibu huu bado wapiga kura wano kwani wakiona huyo mbunge hawafai wanamnyima kura uchaguzi unaofuata. Hivyo amewahimiza wananchi watumie muda wao vizuri wa kuisoma na kuilewa Katiba Inayopendekezwa na wasikubali kuburuzwa wala kupotoshwa na makundi mbali mbali ya watu. Amesema viongozi wa dini washiriki kutugawa sisi watanzania watuachie uhuru wetu.

haisomeki.... imebanduliwa itasomeka vipi?????????????
 
haisomeki.... imebanduliwa itasomeka vipi?????????????

Mwalla unamatatizo, huo uongo wako usipende kuwalisha watu. Wewe unapenda kuandika vitu ambavyo huna hata chembe ya ukweli wa unalolizungumza. Acha vitu vya kudanganya wananchi. Tumia muda wako kujisomea Katiba Inayopendekezwa kuliko hivi unavyofanya sasa.
 
MWALA daima akili zako zinakutosha we mwenyewe, sijui ukiamkaga asubuhi unakunywaga viroba na bangi, acha hiyo tabia.

Mwalla unamatatizo, huo uongo wako usipende kuwalisha watu. Wewe unapenda kuandika vitu ambavyo huna hata chembe ya ukweli wa unalolizungumza. Acha vitu vya kudanganya wananchi. Tumia muda wako kujisomea Katiba Inayopendekezwa kuliko hivi unavyofanya sasa.

nyie wote ni vimada wa KITABU CHA FISADI CHENGE aka KITABU PENDEKA aka KATIBA YA CCM.. mlishabikia itapigiwa kura 30 apr. sasa leo kiko wapiiii hata aibu hamuoni.. mnataka kuwabambikia watanganyika katiba feki iliyonyofolewa banduliwa vipengele muhimu tena vya kukusaidia wewe MBURULA ujitambue lakini kwa uzoba uliowajaa hamuwezi kujitambua aslan... boss wenu kasema hajui lini kura ITAPIGWA na nyie mburula masemaje itapigwa liniii au bado mmekomaa ipigwe 30 APR kama mlivojipangiaa???
...MBAFFFFFFFFFF kabsaa nyie
KWA TAARIFA YENU KURA YA HAPANA IPO PALEPALEEE!!!
 
Mwalla, ulichonacho ndicho unachowaambia na kuwaandikia wanaJF wasome! Si kushangai hata kidogo, maana makuzi yako ndivyo yalivyo matusi ni jadi yako, akili yako yoote ni matusi wala tusitegemee jema kutoka kwako zaidi ya matusi. Ukijiheshimu nawe utaheshimiwa. Acha ujinga wako katoe kwanza ufinyu wako wa mawazo ndipo uwe mtasaarabu na uongee na wenzako. Nilishakueleza mara nyingi kura ni siri yako, sitegemei nifuate mawazo yako ambayo huoni mbali zaidi ya pua yako
 
Back
Top Bottom