Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mtani ndio natoka kwa mkapa hapa kuwahi runinga kutazama hiyo mechi yako na TFF.
Amefanya nini Meck Mexme?Daah, Meck Mexme udumu milele!
kufungwa kupo pale pale Yanga hata mcheze usikuKwa sisi Young Africans tumewaachia tuone huo mtanange wa saa moja kati ya Simba Sc Vs TFF.
Mechi na imani watani zangu wataicheza vizuri huku kukiwa na mgeni rasmi ila sisi wananchi tutakuwa tunawatazama kwa TV.
Kila la kheri mtani ile mipango yenu na mbinu mlizopanga kutuonyesha dhidi yetu basi hakikisheni mnamfunga vizuri huyo TFF.
Tuliwasubiri saa kumi na moja hatujawaona uwanjani ila nilivyosikia una mechi nyingine saa moja ikabidi nikuachie uwanja mtani.
TFF kuna kitu mnabidi mjifunze kuendesha league kienyeji kienyeji hizi zama si zake.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Ndio mana yule kocha aliwaita NYANI. "Uneducated" Hakuna wa kususa hapo. Ujinga tu ndio unawaongoza. ACHENI MAMBO YA MGANGA NA MUDAKwa sisi Young Africans tumewaachia tuone huo mtanange wa saa moja kati ya Simba Sc Vs TFF.
Mechi na imani watani zangu wataicheza vizuri huku kukiwa na mgeni rasmi ila sisi wananchi tutakuwa tunawatazama kwa TV.
Kila la kheri mtani ile mipango yenu na mbinu mlizopanga kutuonyesha dhidi yetu basi hakikisheni mnamfunga vizuri huyo TFF.
Tuliwasubiri saa kumi na moja hatujawaona uwanjani ila nilivyosikia una mechi nyingine saa moja ikabidi nikuachie uwanja mtani.
TFF kuna kitu mnabidi mjifunze kuendesha league kienyeji kienyeji hizi zama si zake.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Mkuu soma ulichokiandika hapa mara mbili mbili kisha jitathimini.Ndio mana yule kocha aliwaita NYANI. "Uneducated" Hakuna wa kususa hapo. Ujinga tu ndio unawaongoza. ACHENI MAMBO YA MGANGA NA MUDA
juzi aliwaita watu wanaoongoza mpira ni wapuuziAmefanya nini Meck Mexme?
Hongera kwa point 3 za bure boss.Mnyama keshajinyakulia point 3 za buuuureee
Hizi point 3 ni kwa mujibu wa nani?Mnyama keshajinyakulia point 3 za buuuureee
TFF walikimbia hiyo mechi yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huku imeanza toka kitambo sasa wamekuja kuzika maana kuua waliua zamani.siasa za tanzania zilianza kwa kuvuruga elimu,muziki sasa ni zamu ya mpira.
@Mshana Jr anapenda kitonga sana huyu mzee mwenzangu.Hizi point 3 ni kwa mujibu wa nani?