Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kwa sisi Young Africans tumewaachia tuone huo mtanange wa saa moja kati ya Simba Sc Vs TFF.
Mechi na imani watani zangu wataicheza vizuri huku kukiwa na mgeni rasmi ila sisi wananchi tutakuwa tunawatazama kwa TV.
Kila la kheri mtani ile mipango yenu na mbinu mlizopanga kutuonyesha dhidi yetu basi hakikisheni mnamfunga vizuri huyo TFF.
Tuliwasubiri saa kumi na moja hatujawaona uwanjani ila nilivyosikia una mechi nyingine saa moja ikabidi nikuachie uwanja mtani.
TFF kuna kitu mnabidi mjifunze kuendesha league kienyeji kienyeji hizi zama si zake.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu