Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wasaka Tonge wenzangu, mapambàno hayakomi, ni mpaka usiku, usiku wa manane.
Hustle zako unafanyia wapi? Tushirioishane huenda kuna wadau wa shughuli zako humu ndani.
Wazee wa iPhone za Makumbusho tuwasiliane.