Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
amenMwenyezi Mungu asiwapungukie katika hustles zenu🙏
AMINA🤣 Mungu mwema Kila wakati, tukumbuke kuwaombea Wanawake, Wazee, Watoto na Walemavu huko kwenye Vita! Ukraine, Urusi, Israel na Palestine
vita kongo sudan somalia🤣 Mungu mwema Kila wakati, tukumbuke kuwaombea Wanawake, Wazee, Watoto na Walemavu huko kwenye Vita! Ukraine, Urusi, Israel na Palestine
Amen 🙏vita kongo sudan somalia
Thank you love. Nungwe Kyala akutule kuno ukobhombelaMwenyezi Mungu asiwapungukie katika hustles zenu🙏
Enna ghwangu 🙏Thank you love. Nungwe Kyala akutule kuno ukobhombela
Sportpesa wana jackpot ya billion, hebu nifanyie maarifa. Ila pia nithibitishie wewe una mabilioni mangapi?Wale wazee wakulost kwenye mikeka yaani we ku win unakusikia kwenye bomba,. Mkombozi nimekufikia hapa uta win kila siku utakula hela mpaka uchakae mwisho ufanane na hela huku mwekundu huku kama una maandishi yenye nembo ya teni teni- mi ndio bingwa wa kuwin tren la odd laki 5 unaweka shng tano unakula m75 rediis and the gettlaman naitwa mr pipa aka nabii wa lost. Aka mkombozi aka msemaji wa mikeka iliyo lost aka mzee wa taarabu aka welawela na safari hy nagombea u mods nipigien kulaa ili nilee
Usiku wa manane
Amka mzee, muda wa maandamano ndio huuWasaka Tonge wenzangu, mapambàno hayakomi, ni mpaka usiku, usiku wa manane.
Hustle zako unafanyia wapi? Tushirioishane huenda kuna wadau wa shughuli zako humu ndani.
Wazee wa iPhone za Makumbusho tuwasiliane.
Wapemba mnajuana kwa vilembaEnna ghwangu 🙏