Maigizo? na kushika mdomo, kushtuka............... unajulikana kabisa kuwa umekosea namba, siyo kuigizaUtakuwaje FP? Utajulikana tu unaigiza.
Maigizo? na kushika mdomo, kushtuka............... unajulikana kabisa kuwa umekosea namba, siyo kuigiza
kweli utakuwa umetumia busara mkuu, yanini kumhukumu mwenzio kama nawewe sio msafi...
siku zote mwizi ni yule aliyekamtwa bana , ambaye hajakamatwa sio mwizi hata kidogo , labda tuhuma tuu hazina ukweli wowote !!
[B said:Angel Msoffe[/B];3386354]ningeendelea kukaa hapo km dkk 10 huku nikicheka naye kama mwanzo then namwambia twende home tunaondoka hk nimeweka mkono wangu kiunoni mwake, nampeleka home then NAMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI AFUNGASHE MIZIGO YK ASEPE kesi itaongelewa badae