Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

Hapa kila mmoja, ninge.... ninge... ninge.... vile sio kwako lakini sidhani kama kuna mwenye kujua nini kingetokea yangemkuta yeye. soo hili mpaka likukute ndio ujua cha kufanya. hapana tunadanganyana tu.
 
simple......
Unalipa bili unasepa, utarudi nyumbani saa nane usiku......
Wala sitomuuliza ila ratiba nabadili....
Miezi mitatu, nikirudi saa sitaa usiku leo kesho sirudi kabisa......
 
Hapo issue kaka ni kuuchuna alafu unapotezea kwn yeye c kajua kuwa kafanya mistake, bac adhabu atakayoipata.!!
 
MIMI NINGEJIFANYA SIKUONA CHOCHOTE NA WALA SIMUULIZI NG'O KWA LOLOTE NA WALA SITAONESHA KUBADILIKA KWA LOLOTE BALI NITAONGEZA UPENDO ZAIDI KWAKE KWANI NI MKE WANGU. Kwa hili najua kabisa nitakuwa nimempa adhabu ya kisaikolojia. NA HATA AKINIULIZA YEYE NITAMWAMBIA nimemsamehe kabisa kama ambavyo MUNGU hutusamehe na wala hakumbuki maovu yetu milele. ASIPOULIZA BASI nitakachofanya ni kuzidisha upendo kwa mke wangu huyo MARA DUFU ZAIDI, NA HATA IKIBIDI MARA SABA ZAIDI YA SASA.
 
Ila kwanini jamani yafikie huko?????kwamba mama anamwiona mume kubwa jinga kwa ajili ya "kidumu", kwanini???upendo wa dhati unakosekana ama??inauma sana pamoja ni story tu...........!!tupendane jamani
 
unajua huwezi kujua utaamua nini ni rahisi kusema siku nikifumania patakuwa hapatoshi lakini huwezi amini bumbuazi lake unaweza kubung,aa we ukose uamuzi maumivu makali kama hayo hayana fomula
 
ningeee uchunaa kama sijaonaa kitu,naendelea kuchanga mkaa THEN NAJIBU,samahanii dear msg uliotumaaa umemtumiaa bkubwa jingaaa mwenyewee,kuwa muangalifu.
 
kweli utakuwa umetumia busara mkuu, yanini kumhukumu mwenzio kama nawewe sio msafi...

siku zote mwizi ni yule aliyekamtwa bana , ambaye hajakamatwa sio mwizi hata kidogo , labda tuhuma tuu hazina ukweli wowote !!
 
siku zote mwizi ni yule aliyekamtwa bana , ambaye hajakamatwa sio mwizi hata kidogo , labda tuhuma tuu hazina ukweli wowote !!

Hahaaa eti mwizi niyule anaekamatwa tu, nimeipenda hii...
 
[B said:
Angel Msoffe[/B];3386354]ningeendelea kukaa hapo km dkk 10 huku nikicheka naye kama mwanzo then namwambia twende home tunaondoka hk nimeweka mkono wangu kiunoni mwake, nampeleka home then NAMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI AFUNGASHE MIZIGO YK ASEPE kesi itaongelewa badae


Angel itabidi uhakikishe anagida pombe za kutosha ili ukifika unamkenya kama wale wamama wa Central Kenya. Assuming wewe ni Angel wa jinsia pinzani na yangu.
 
Back
Top Bottom