Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

kama ni mimi basi ningejibu hivi "poa mpenzi tutachati baadae" halafu nanyanyuka na kusepa.
 
imenikumbusha mbali sanaaaa, maana nilishawai kuwa na jimama moja nikasau nikamtumie sista meseji mpigie ili jimama ulalamike matatizo tule ela mi linaniboa baada ya kutuma kwa sista nikatuma kwake, siku iyo nilikuwa mdogo ila nilipata kujijitetea kiume.............................................................sometimes happen.............................ila:shock:
 
mie naondoka fasta,ugomvi tukaumalizie home,unaweza kupigwa ngumi ya pua hapo hapo bar,lol
 

Hahahahaaa kama nakuona vile ulivokuwa umenywea duuh balaaa kwelikweli...
 
Ndivyo wanawake walivyo siku hizi inahitaji uvumilivu mkubwa vinginevyo hukai na yoyote, chamsingi ni kufahamu kuwa maisha ya sasa uaminifu ni kidogo sana, ukibahatika unamshukuru mungu na yakikukuta inabidi ujipange vinginevyo mauaji yatakuwa mengi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…