Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
kama ni mimi basi ningejibu hivi "poa mpenzi tutachati baadae" halafu nanyanyuka na kusepa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh... Hongera coz hutapata maumivu moyoni mwako...
aise moyo wako ulinunulia duka gani maana dah!
imenikumbusha mbali sanaaaa, maana nilishawai kuwa na jimama moja nikasau nikamtumie sista meseji mpigie ili jimama ulalamike matatizo tule ela mi linaniboa baada ya kutuma kwa sista nikatuma kwake, siku iyo nilikuwa mdogo ila nilipata kujijitetea kiume.............................................................sometimes happen.............................ila:shock:
mie naondoka fasta,ugomvi tukaumalizie home,unaweza kupigwa ngumi ya pua hapo hapo bar,lol
Humpi hata nafasi ya kujirekebisha?