The Giantist
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 214
- 86
- Thread starter
- #21
Nafikiri sio wagogo wote kama wewe, ambao wanaweza kuandika gazeti kwa kupewa buku kumi.Mgogo na buku tatu za ugaliwa uwele anaweza kaandika jarida la kuisifu ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri sio wagogo wote kama wewe, ambao wanaweza kuandika gazeti kwa kupewa buku kumi.Mgogo na buku tatu za ugaliwa uwele anaweza kaandika jarida la kuisifu ccm
Nashukuru kwa kunijulisha, nilikuwa sijui.Comrade namba ya simu ni muhimu.
fanya hivyo upesi chama kinatafuta green guards wa kurusha mawe kwenye shuhuli za wapinzani.Nashukuru kwa kunijulisha, nilikuwa sijui.
Jitahidi kukuza kipaji chako cha kuwafurahisha watu kupitia kuchora na sio kuediti.TUNATEKETEZA.View attachment 1542861
Ninyi na Red Brigedi yenu, mmepewa jukumu hilo kwa CCM?! Kwa upande wa CCM hilo suala haliwezi kuwepo....fanya hivyo upesi chama kinatafuta green guards wa kurusha mawe kwenye shuhuli za wapinzani.
Sawa kabisa.Jitahidi kukuza kipaji chako cha kuwafurahisha watu kupitia kuchora na sio kuediti.
weka namba wewe na ujiandae kurusha mawe.Ninyi na Red Brigedi yenu, mmepewa jukumu hilo kwa CCM?! Kwa upande wa CCM hilo suala haliwezi kuwepo....
Papara si umwambie apunguze mwenyekiti wako anaetaka kukigeuza kijiji chake kuwa J'berg!Punguza papara kijana, na ndio maana zilianza Baloon kabla ya airplane. Hakuna mtu atakayekuja kukushushia yote kwa mkupuo, na ndio maana kuna kitu kinaitwa sera na utekelezaji, vyote hivi vinaenda kwa awamu. Mwenda pole hajikwai!
Labda kama imetafsiriwa kisheria, kwamba ni haramu kwa mikoa ya viongozi kuendelezwa, utakuwa upo sahihi. Ama sivyo ni muendelezo wa tabia yako mbaya ya kukurupuka.Papara si umwambie apunguze mwenyekiti wako anaetaka kukigeuza kijiji chake kuwa J'berg!
Kumbe kiingereza ni lugha ya kupingia hoja, nilikuwa sijui.What you wrote you think it’s sense...yet it’s nonsense
Kumbe kiingereza ni lugha ya kupingia hoja, nilikuwa sijui.
Labda pengine sitahitaji kufahamu.Huwezi jua
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kutoka Dodoma ambako ni ngome ya CCM kwa miaka, lkn ndiko umaskini na hali ngumu ya maisha imewatafuna wananchi na wakaazi wa mkoa huo ki sawa sawa. Ajabu ni kwamba, hata wale wanaodhani niwasomi akili zao ndo kama hizi za mtoa mada unategemea nini hapo?
Acha "anduje" awatandike bakora tu ili akili ziwakae sawa sawa nyambaafu