Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Umbea huu.....vyama vina katiba zao.,wanachama wao.Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Asubuhi asuhuhi hata hujampa mumeo cha asubuhi unaamkia ya Mbowe wewe mama vipi?Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Katiba zipo lkn zinakiukwa makusudi.Umbea huu.....vyama vina katiba zao.,wanachama wao.
Mwenyekiti wao alisema atastaafu 2023 hivi sasa ni october naunga mkono hoja....Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Matatizo ya akili huanza taratibu mpaka kufikia watu wengi kutambua kuwa mtu anaugua magonjwa ya akili.Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Ni Lipumba u fulani tu. Angekuwa na akili timamu angeenda mahakamani kupata tafsiri ya CCM utawala milele.Wewe ni Mwanachama wa Chadema?
Ki Chama, CHADEMA peke yake ndipo hawajabadilisha Mwenyekiti...kwa muda mrefu, halafu ndio vinara wakuhubiri Demokrasia!Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Unawajua CUF na UDP?Ki Chama, CHADEMA peke yake ndipo hawajabadilisha Mwenyekiti...kwa muda mrefu, halafu ndio vinara wakuhubiri Demokrasia!
Wewe sio chama chako nini kinakuuma..Katiba zipo lkn zinakiukwa makusudi.
Mzee Mtei alifata katiba ya chama akakaa vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama inavyosema katiba ya chama akatoka.
Akaja Bob Makani na yeye akafuata katiba kwa kukaa pia vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama Mtei akatoka. Na hiyo ya kina mzee Mtei na hayati Bob Makani ndio demokrasia iliyosababisha chama kiitwe "Chama cha demokrasia na maendeleo".
Sasa huyu mfanyabiashara anawaona wenzake waliomtangulia wote ni kanyaboya. Ndomaana kaamua kung'ang'ania kitini bila kufuata katiba.
So acha wale wanaoona kuwa katiba ya chama inasiginwa makusudi waende mahakamani.
Natambua, CCM imebadilisha Wenyeviti wengi zaidi ya wote hao.CHADEMA ndani.Unawajua CUF na UDP?
Jifunze kuandika kwanza. .I think pia uende Mahakamani kuuliza ela za kulea vyama kulipa mishahara na matumizi mengine ya chama, wakati chama hakichukui Ruzuku
Mbowe alikuwa anapata wapi?
Chadema wenyewe wamesema ni mwenyekiti wa maisha sababu hakuna mwenye akili mwingine ni mbowe tuu.Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Mbowe kakudanganya kuwa hachukui hela za ruzuku na wewe ukaamini? Chadema ruzuku wanavuta kama kawaida na wabunge wenu wale mnawaita sijui COVID 19 huwa wanapeleka milioni 5 kila mwezi Kwa mbowe kila kichwa zidisha mara 19 utajua hela anayovuta mwenyekiti wako wa kudumu!!I think pia uende Mahakamani kuuliza ela za kulea vyama kulipa mishahara na matumizi mengine ya chama, wakati chama hakichukui Ruzuku
Mbowe alikuwa anapata wapi?