King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu, na alishasema sumu haijalibiwi Kwa kulamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙆♂️🙆♂️🙆♂️Chadema wenyewe wamesema ni mwenyekiti wa maisha sababu hakuna mwenye akili mwingine ni mbowe tuu.
GeniusRais wa JMT ndio Mwenyekiti wa CCM
Kwahiyo CCM ina Mwenyekiti wa Kudumu kwa sababu ni lazima awe Rais wa JMT [emoji1]
Kasome katiba ya Chadema usiwe popomaWatanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.
Mbowe kakudanganya kuwa hachukui hela za ruzuku na wewe ukaamini? Chadema ruzuku wanavuta kama kawaida na wabunge wenu wale mnawaita sijui COVID 19 huwa wanapeleka milioni 5 kila mwezi Kwa mbowe kila kichwa zidisha mara 19 utajua hela anayovuta mwenyekiti wako wa kudumu!!