Tutaenda mahakamani kwa kupata tafsiri ya Mwenyekiti wa maisha Mzee Mbowe

Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu, na alishasema sumu haijalibiwi Kwa kulamba
 
Chadema wenyewe wamesema ni mwenyekiti wa maisha sababu hakuna mwenye akili mwingine ni mbowe tuu.
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Kasome katiba ya Chadema usiwe popoma
 

Ha ha ha ha 🀣🀣🀣 Yan jamiiforums anaweza kuja mtu kuongea hoja Kwa mabavu ukaona kama ni Jambo la kweli

Hakuna Mbunge wa covid anampa mbowe any amount

Acha story za vijiweni
 
Ijue katiba ya chadema kabla hujakurupuka kujiridhisha na hitaji lako

Kwann ?
Usianze na nafasi ya mwenyekiti ccm kuipinga mana nayenyewe Haina tofauti na chadema ,mana ccm na wao chupa ilele Ila rangi ya mvinyo hua toafuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…