Tutaendelea kudanganywa na hawa wanasiasa

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Baada ya kusikiliza hotuba ya rais siku ya wafanyakazi, niligundua tumefanywa wajinga tena kwa kuahidiwa kitu ambacho hakipo.

Hivi hatuwezagi kuandaa maandamano ya kupinga uongo wa wanasiasa, hatuwezagi kuwaondoa ama kuwakataa wanasiasa waongo. Huu ni ujinga mkubwa.

Je tutaendelea kuwa wajinga hadi lini?

1683095741107.jpg
 
Utafiti unaonyesha kuwa; watumishi wa umma wana amani na furaha tele ktk awamu hii ya 6 kuliko awamu iliyo pita.

Inaonekana kuwa Rais wa awamu hii ya 5 ameonekana kuwajali watumishi,
mara tu alipo shika madaraka aliamuru mambo makubwa yafuatayo;

1. Malimbikizo ya mishahara ambayo yalikwama kwa zaidi ya miaka 5 yalilipwa haraka sana

2. Kupanda kwa madaraja ambapo kulikwama kwa zaidi ya miaka 5 yalipandishwa haraka sana.
3. Posho ya kujikimu kwa walimu

4. Bima ya afya kuongezwa umri kwa wategemezi.

5. Nyongeza ya mishahara iliyo kuwja imesimamishwa zaidi ya miaka 6 ameamuru irudishwe haraka sana.

6. Watumishi wa darasa la 7 walio ondolewa bila kulipwa haki zao aliamuru walipwe haraka sana.

N.k n.k

Usione watumishi wanacheka jua mama kawakuna vilivyo na wanamatumaini naye makubwa.
 
Bora hata ulivyohamia kwenye siasa. Ahsante kwa kutupumzisha wanaume
 
Sawa ila kuna vitu anatakiwa kuangalia upya jaman
 
Back
Top Bottom