Utafiti unaonyesha kuwa; watumishi wa umma wana amani na furaha tele ktk awamu hii ya 6 kuliko awamu iliyo pita.
Inaonekana kuwa Rais wa awamu hii ya 5 ameonekana kuwajali watumishi,
mara tu alipo shika madaraka aliamuru mambo makubwa yafuatayo;
1. Malimbikizo ya mishahara ambayo yalikwama kwa zaidi ya miaka 5 yalilipwa haraka sana
2. Kupanda kwa madaraja ambapo kulikwama kwa zaidi ya miaka 5 yalipandishwa haraka sana.
3. Posho ya kujikimu kwa walimu
4. Bima ya afya kuongezwa umri kwa wategemezi.
5. Nyongeza ya mishahara iliyo kuwja imesimamishwa zaidi ya miaka 6 ameamuru irudishwe haraka sana.
6. Watumishi wa darasa la 7 walio ondolewa bila kulipwa haki zao aliamuru walipwe haraka sana.
N.k n.k
Usione watumishi wanacheka jua mama kawakuna vilivyo na wanamatumaini naye makubwa.