GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
1. Mfanyabiashara kalipa kodi halali shilingi milioni ishirini na nne, lakini kaandikiwa kalipa milioni tatu. Inawezekana kiasi kilichobaki kimeliwa na wajanja. Hilo limetokea jijini Arusha.
2. Watumishi wa Serikali wajiwekea utaratibu wa kutoa risiti feki na kujipatia mamilioni ya fedha. Tukio ni la Karatu mkoani Arusha.
Inasemekana na mikoa mingine, ingawa sijui kama ni yote, mwendo ni huo pia.
Tutawadhibitije hao wezi?