ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Wanajamvi...
Nmekuwa nikipatwa na maswali mengi juu hii kitu kinachoendelea kwa wanafunzi wa sekondari hususani kwa wasichana wa shule za mjini. Nashangaa kuwaona wakienda shule wakiwa hawana hata mfuko (begi) wa daftari badala yake huwa wanabeba vipochi ambavyo hata daftari ndogo inayotumiwa na mtoto wa chekechea haikai. Sasa je,
Huwa wanaacha nyumbani daftari zao, kama hvyo shule huwa wanaandika kwenye nn?
Na kama wanaacha shule huwa wanajisomea nn?
Au ndo mfumo mpya wa kusoma wa kutokuwa na daftari?
Ni hatari kwa wasichana hawa ambao tunatarajia wawe wasomi wa kuongoza watu na familia zetu. Toa mawazo yako.....