Tutafakari kwa pamoja kwanini Dube na Ateba wameanza kufumania nyavu baada ya upako?

Hivi wachezaji wote wakienda kuchukua hayo mafuta, nani atachukua ubingwa?
 
Tushawachoka na iyo dini yenu ya kishoga na utapeli. Tayar mnaanza kumtengenezea huyo tapeli apige pesa
 
Kama wewe kweli ni shabiki wa Soka, basi bado una safari ndeeeeefu ya kulijua Soka la kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…