Nimeiona clip ya Mbowe akiingia mahakamani na akitoka pia.Nimesikiliza maelezo ya mrema kuhusu kilichojiri mahakamani.Nimewasikia kina mama wakiomba.
Najaribu kuwaza hisia za watu ambao walibahatika kuwa karibu sana na Mbowe,Wilbroad Slaa ambaye alikuwa katibu mkuu aliyepitia misukosuko mingi.Aliwahi kuwekewa hata kinasa sauti uvunguni!Namuwazia Lowassa ambaye alikikoroga CCM lakini wakampokea.pia na Sumaye.Lakini hivi karibuni Mashinji ambaye aliibuliwa alipokuwepo mpaka kuwa katibu mkuu (tena wakati wa kipindi cha ruzuku nzito).Najaribu kutafakari hisia za watu hawa wazito,wana hisia gani na kinachomtokea aliyekuwa swahiba wao.Natamani kujua labda nitapata la kujifunza !!!!!!!!