Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Salam ndg.mikutano muhimu ya siasa ambayo huwapa elimu watu juu ya mambo mbalimbali eti mwisho sa12:30jioni.lakini mikutano ya matapeli kwa jina la Yesu hadi sa moja!.Au kwakuwa hii ni ya kupumbaza watu wanaona heri?watu wanapeleka udongo ukaombewe badala ya kutumia mbinu bora za kilimo .ujinga ujinga ni mzigo.