Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Na sipendi kusema maneno mengi kwa kweli kwa sababu unajua pia unapofundishwa adabu vizuri ni vizuri ukaipata by suprise!
Ukasema eeh ndo imekuwa hivyo?!...Aah Ndio imekuwa hivyo mjomba...imeisha hioo unanielewa? Utafute kazi ingine ~ Humphrey Polepole katibu mwenezi mstaafu
Nafikiri sasa ni muda wa kijana mwenzetu nae kupractice maagizo yake, hii inatufundisha cheo dhamana😅