Nzee was viieetee imekuwaje tena?Na sipendi kusema maneno mengi kwa kweli kwa sababu unajua pia unapofundishwa adabu vizuri ni vizuri ukaipata by suprise!
Ukasema eeh ndo imekuwa hivyo?!...Aah Ndio imekuwa hivyo mjomba...imeisha hioo unanielewa? Utafute kazi ingine ~ Humphrey Polepole katibu mwenezi mstaafu
View attachment 2040545
Nafikiri sasa ni muda wa kijana mwenzetu nae kupractice maagizo yake, hii inatufundisha cheo dhamana😅
Maana ya ishi na watu vizuri aliisahau.Imeishaa hiooo!!! Atafte kazi nyingine 😅
Eeh ukiwa kwenye kuku kutoa maagizo ya wenzio wajiajiri ama wafanye ujasiriamali ni jambo jepesi sana kama kupekenyua minofu ya paja!Maana ya ishi na watu vizuri aliisahau.
Hana adabu huyu anataka kushindana na mamlakaNa sipendi kusema maneno mengi kwa kweli kwa sababu unajua pia unapofundishwa adabu vizuri ni vizuri ukaipata by suprise!
Ukasema eeh ndo imekuwa hivyo?!...Aah Ndio imekuwa hivyo mjomba...imeisha hioo unanielewa? Utafute kazi ingine ~ Humphrey Polepole katibu mwenezi mstaafu
View attachment 2040545
Nafikiri sasa ni muda wa kijana mwenzetu nae kupractice maagizo yake, hii inatufundisha cheo dhamana😅
Sasa mtu hajawahi hata ku hustleEeh ukiwa kwenye kuku kutoa maagizo ya wenzio wajiajiri ama wafanye ujasiriamali ni jambo jepesi sana kama kupekenyua minofu ya paja!
Ukishatupwa mtaani ndo akili ambapo inarejea sasa na kuona alaaa kumbe huku jua huwa ni kali namna hii?
Dawa yake ndogo tu kupiga pini acc. zenye hela zake za upigaji zile😅 wakimtia spana atanywea ghafla tu kama alivyonywea jasusi mbobezi na kubaki analia lia tu kwenye midia😅Hana adabu huyu anataka kushindana na mamlaka
Alishalewa pesa za decoration
Ova
Kabisa....Dawa yake ndogo tu kupiga pini acc. zenye hela zake za upigaji zile😅 wakimtia spana atanywea ghafla tu kama alivyonywea jasusi mbobezi na kubaki analia lia tu kwenye midia😅
Depression hiyoo !!Nzee was viieetee imekuwaje tena?
Toka jiwe amevuta , slow slow kama amedata vile. Kuna anayemuelewa?Na sipendi kusema maneno mengi kwa kweli kwa sababu unajua pia unapofundishwa adabu vizuri ni vizuri ukaipata by suprise!
Ukasema eeh ndo imekuwa hivyo?!...Aah Ndio imekuwa hivyo mjomba...imeisha hioo unanielewa? Utafute kazi ingine ~ Humphrey Polepole katibu mwenezi mstaafu
View attachment 2040545
Nafikiri sasa ni muda wa kijana mwenzetu nae kupractice maagizo yake, hii inatufundisha cheo dhamana😅
Kiroboto kinawashaEeh ukiwa kwenye kuku kutoa maagizo ya wenzio wajiajiri ama wafanye ujasiriamali ni jambo jepesi sana kama kupekenyua minofu ya paja!
Ukishatupwa mtaani ndo akili ambapo inarejea sasa na kuona alaaa kumbe huku jua huwa ni kali namna hii?