Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Siwezi kuwa yanga,japo simba nao nimeshaachana nae kitambo sanaAh wee unaniangusha mzee mwezangu...au wee yanga 🤣🤣🤣🤣 Sii caf champions league robo final inaanza leo usiku saa tano
Sasa mzee mwenzangu CAF unaibetiaje?hakuna nachojua huko