Tutafute hela jamani!


nextime zingatia sana price tag ya bidhaa husika[emoji28][emoji28].

unawezahisi ni 1.9 mln,kumbe hawajakosea hata.

pale askari monument kulikuwa na armschare very simple ya 3.5ml.

yaani yenyewe peke yake bei inakula thamani zote ulizo nazo sebuleni na chenji inabaki.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna jamaa yuko Dar Free Market anauza viatu.. yaani raba Converse all star ya Tsh 20000 anakuambia Tsh 187,000/=. Nikaona comment ya jamaa yangu mmoja tulisoma wote Ngarenaro anasema atapita kununua. Nikajiuliza nini kimempata huyu classmate?
 
🀣🀣🀣🀣🀭
Tatizo la furniture za kibongo ni finishing. Huwa wanajisifu tu mbao ngumu ila sura ya fenicha mbaya. Wachina material ya ovyo ila kutokana jinsi kinavyovutia machoni unajikuta unanunua. Saa nyingine kuangalia sura na umbo ni muhimu hata kama tabia ni muhimu sana
 
Yeah ni kweliπŸ˜ŠπŸ€—
 
Mara nyingi quality hazilingani. Ukienda Orca Deco sometimes unakutana na kitanda chenye theme kama maharamia au vikings. Unakutana na samani hata ukisema utafute fundi yeyote Tanzania hii huwezi mpata wa kutoa kama ile. Mikunjo, cuttings, nakshi, materials hasa hapa ndipo pa muhimu na durability havifanani.

Kuna tofauti kubwa sana ya sofabed hizi za magodoro ya GSM na vitanda vya Uturuki. Au ukikalia product ya IKEA hata kama ni usiku huioni kuna tofauti na product ya Ubungo Kibo.
 
Kuna jamaa yuko Dar Free Market anauza viatu.. yaani raba Converse all star ya Tsh 20000 anakuambia Tsh 187,000/=. Nikaona comment ya jamaa yangu mmoja tulisoma wote Ngarenaro anasema atapita kununua. Nikajiuliza nini kimempata huyu classmate?

Ngarenaro umemaliza mwaka gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…