Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Aaah hata hivyo duniani tunapita tu😂Wanalala wenye vitanda vya milioni kumi na tisa. Sisi wengine tunapitisha usiku!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah hata hivyo duniani tunapita tu😂Wanalala wenye vitanda vya milioni kumi na tisa. Sisi wengine tunapitisha usiku!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni kweli, ila tabu ipo kwenye namna tunavyopita!Aaah hata hivyo duniani tunapita tu[emoji23]
Nakumbuka niliendaga pale lifemate kuna sofa nililiona nikauliza bei tena ilikua msimu wa punguzo yule dada akaniambia m19 nilitoka haraka nikijua kabisa nimeingia sehemu isio sahihi kwangu mwishoe nikaishia kwenda keko nikamuungisha mwanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka niliendaga pale lifemate kuna sofa nililiona nikauliza bei tena ilikua msimu wa punguzo yule dada akaniambia m19 nilitoka haraka nikijua kabisa nimeingia sehemu isio sahihi kwangu mwishoe nikaishia kwenda keko nikamuungisha mwanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂NAKAZIA
MILELE DAIMA
KATAA NDOA
HahahahaahahaKuna rafiki yangu anatengeneza kama hicho tena vizuri sana...ikizidi sana 300k 😃😃
🤣🤣🤣🤣ðŸ¤Hahahahaahaha
Tatizo la furniture za kibongo ni finishing. Huwa wanajisifu tu mbao ngumu ila sura ya fenicha mbaya. Wachina material ya ovyo ila kutokana jinsi kinavyovutia machoni unajikuta unanunua. Saa nyingine kuangalia sura na umbo ni muhimu hata kama tabia ni muhimu sana🤣🤣🤣🤣ðŸ¤
Yeah ni kweli😊🤗Tatizo la furniture za kibongo ni finishing. Huwa wanajisifu tu mbao ngumu ila sura ya fenicha mbaya. Wachina material ya ovyo ila kutokana jinsi kinavyovutia machoni unajikuta unanunua. Saa nyingine kuangalia sura na umbo ni muhimu hata kama tabia ni muhimu sana
Aisee...Mh, hiyo bei ya kitanda na jinsi kilivyo!!!!!!!!Tutafute hela tu kwa kweli!!!!!!Ukiongea sana utaonekana una nongwa!!!!!!!!!!!! Pita kule na hiyo ni ofa ya punguzo!!!!!!!
GSM
View attachment 2714621
Sahihi kabisa.Tatizo la furniture za kibongo ni finishing. Huwa wanajisifu tu mbao ngumu ila sura ya fenicha mbaya. Wachina material ya ovyo ila kutokana jinsi kinavyovutia machoni unajikuta unanunua. Saa nyingine kuangalia sura na umbo ni muhimu hata kama tabia ni muhimu sana
Haukujikwaa kweliNakumbuka niliendaga pale lifemate kuna sofa nililiona nikauliza bei tena ilikua msimu wa punguzo yule dada akaniambia m19 nilitoka haraka nikijua kabisa nimeingia sehemu isio sahihi kwangu mwishoe nikaishia kwenda keko nikamuungisha mwanangu 😂😂😂😂😂
Mara nyingi quality hazilingani. Ukienda Orca Deco sometimes unakutana na kitanda chenye theme kama maharamia au vikings. Unakutana na samani hata ukisema utafute fundi yeyote Tanzania hii huwezi mpata wa kutoa kama ile. Mikunjo, cuttings, nakshi, materials hasa hapa ndipo pa muhimu na durability havifanani.Sio Kila bidhaa mlengwa ni wewe, Kila biashara Ina soko inalolenga ndio maana chips kuku hiyo hiyo utauziwa elfu 5 mbagala ila ukienda machimbo ya masaki huko utauziwa elfu 30.
Hiyo bei ni kubwa kwako ila wateja wao ni mahoteli makubwa, mabalozi, political class, business moguls n.k so wanaiweka bei inayoakisi thamani ya wateja wao.
So usishtuke sana quality ni Ile Ile tofauti ni market segment tu.
Kuna jamaa yuko Dar Free Market anauza viatu.. yaani raba Converse all star ya Tsh 20000 anakuambia Tsh 187,000/=. Nikaona comment ya jamaa yangu mmoja tulisoma wote Ngarenaro anasema atapita kununua. Nikajiuliza nini kimempata huyu classmate?