Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala hakina mvuto
Inaitwa market segregation
wewe unaonajemvuto wa macho au wa kulala
Sikujikwaa ila kila nikipita na wife anacheka sana. Nilijichanganya kweliHaukujikwaa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka niliendaga pale lifemate kuna sofa nililiona nikauliza bei tena ilikua msimu wa punguzo yule dada akaniambia m19 nilitoka haraka nikijua kabisa nimeingia sehemu isio sahihi kwangu mwishoe nikaishia kwenda keko nikamuungisha mwanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna rafiki yangu anatengeneza kama hicho tena vizuri sana...ikizidi sana 300k [emoji2][emoji2]
Hahah😂😂.,,niache kumchangia best friend tena na punguzo napata?.hapana kwakweli 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]