Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
unakuta mtu ooh mm sipend kufuga pakaπ sasa chumba kimoja kinana chumbani sio stoo na jiko π
Ndio maana yake huwezi pata kwa kukaani muhimu kutafuta bila kujali hayo ya wakati, huo wakati ukukute ukiwa unatafuta
nimeamua kuachana nae mkuumkuu vipi, ulishamtafuta huyo manzi? ili nikupe nondo.
Kwangu mie sio tu mpenda pesa, bali hata yule anaevaa kama wale wadada wa kimboka i.e tako moja nje, wale wanaozungumza kiswangish, sanasana kuikazia konsonanti r. Bila kuwasahau wale wanaosuka rasta za kumwagika makalioniJisemee wewe mwenyewe peke yako. Mfano mimi huwa sivutiwi na mwanamke mpenda pesa. Hata awe mzuri kiasi gani ananikeraa
Ndio hao hao, sifa zote hizo wanazoKwangu mie sio tu mpenda pesa, bali hata yule anaevaa kama wale wadada wa kimboka i.e tako moja nje, wale wanaozungumza kiswangish, sanasana kuikazia konsonanti r. Bila kuwasahau wale wanaosuka rasta za kumwagika makalioni
Nimesahau kitu. wale wanaojichubua
π€ endelea kupata chochote kwa bill yangunimeamua kuachana nae mkuu
best commentSema hela hela hazitafutwi fanya kitu hela ikutafute yenyewe
Kuna tofauti kati ya aliye na pesa na aktamka maneno haya na asiyekuwa na pesa mzee ukisema "pisi hazina shida kabisa na pesa yako" inamaana pesa ni unayo hapo na huyo manzi just in case akawa na shida na kihasi Cha pesa unaweza mpa na mpaka kufikia Happ pia unaweza kuwa ushawai kumpa pesa ila ile kuto kuomba yeye ndio unasema Hana shida na pesa yako lakini Hilo ni different stories kwa asiye na pesa kabisaKwa akili yako. Hapo ndipo ulipofikia. Ila nikwambie tu hata mimi nilikuwa naamini hivyo mwanzo. Till recently nkaanza kupata pisi za kwenda na hazina shida kabisa na pesa yangu.
ππ maisha ni magumu sanaunakuta mtu ooh mm sipend kufuga pakaπ sasa chumba kimoja kina
mkaa,madumu,majiko,majivu,feni,seapiano,kitanda,kabati,madodiki ya kuogea,ndo ya chooni sasa paka atakaa wapiππππ
Mtumie 150,000 alafu rudisha muamala than tulia akikupigia simu kuhusu muamala mwambie njoo uichukue geto akija unampelekea moto.#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka dakika hii nawaza nimjibuje.