Tutafute hela : Tuheshimike

Tutafute hela : Tuheshimike

Jisemee wewe mwenyewe peke yako. Mfano mimi huwa sivutiwi na mwanamke mpenda pesa. Hata awe mzuri kiasi gani ananikeraa
Kwangu mie sio tu mpenda pesa, bali hata yule anaevaa kama wale wadada wa kimboka i.e tako moja nje, wale wanaozungumza kiswangish, sanasana kuikazia konsonanti r. Bila kuwasahau wale wanaosuka rasta za kumwagika makalioni

Nimesahau kitu. wale wanaojichubua
 
Kwa akili yako. Hapo ndipo ulipofikia. Ila nikwambie tu hata mimi nilikuwa naamini hivyo mwanzo. Till recently nkaanza kupata pisi za kwenda na hazina shida kabisa na pesa yangu.
Kuna tofauti kati ya aliye na pesa na aktamka maneno haya na asiyekuwa na pesa mzee ukisema "pisi hazina shida kabisa na pesa yako" inamaana pesa ni unayo hapo na huyo manzi just in case akawa na shida na kihasi Cha pesa unaweza mpa na mpaka kufikia Happ pia unaweza kuwa ushawai kumpa pesa ila ile kuto kuomba yeye ndio unasema Hana shida na pesa yako lakini Hilo ni different stories kwa asiye na pesa kabisa
 
#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka dakika hii nawaza nimjibuje.
Mtumie 150,000 alafu rudisha muamala than tulia akikupigia simu kuhusu muamala mwambie njoo uichukue geto akija unampelekea moto.
 
Back
Top Bottom