Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa hako kakibwagizo kako unakaandika kila post au umekasaveHii style alikuja nayo @mbaozamawe na bwana dura ko ww umeleta copy kaka
yess BiShoo haswaaAaa
Mwenye duka anafahamu ujinga unaofanya kwenye biashara yake ?Aaahh! Jameni wacheni tu, mamboo ni bam bam. Leo amekuja mwanamke mzuri dukani kwagu mpaka kiu ilikata yeyewe. Nilimwambia achukue tu nguo anayotaka maana ni mzuri, kwa kweli ni mzuri sana.
Vijana hamutaki kuoa, why? Mimi nilitaka kumsemesha kwa urefu lakini nikawa nimeshidwa, nikamwabia aje kesho tuogee kwa kirefu. Amekubali na kunipa namba yake ya simu, baghoshaaa! Huyu mdada ni mzuri sana, mweupee, mrefu ana hipis na makalio mazuri.
Nilimuwahi sema humu jamani tupeane madili ya mademu wakali wote. Jamani sisi wanaume tunapaswa kuwa na moyo mgumu, si woga au chuki. Hakuna kugombana, kumbe wanawake wazuri bado wapo wegi tu.
Sitoki JamiiForums, kuko poa sanaaa.
[emoji23][emoji1787][emoji1787] kanakukera mkuu au....?We jamaa hako kakibwagizo kako unakaandika kila post au umekasave
Hamna mkuu kanafurahisha tu[emoji23][emoji1787][emoji1787] kanakukera mkuu au....?
yess BiShoo haswaaAaa
Nime kasave hako ka signature mkuuHamna mkuu kanafurahisha tu
Hahaa haya kaka.... Unajua kubuni vituNime kasave hako ka signature mkuu
yess BiShoo haswaaAaa